Kuwa mshiriki wa mtandao wa OpinionArena

OpinionArena hufanya utafiti juu ya bidhaa, huduma, sera na ufahamu wa mazao ya viwanda. Tunavutiwa na maoni na mtazamo wa watu bali si kushiriki katika uuzaji. Tunalipa washiriki wetu kwa majibu yao. baada ya kujiandikisha, unaanza kupata pointi kwa kila utafiti utakaohusika. Baada ya hapo unaweza kuchagua kati ya bidhaa tofauti au huduma kwa pointi hizo.

Sababu ya kushiriki?

Unajichagulia mwenyewe wakati na tafiti gani unazotaka kushiriki
Pata pointi zinazoweza kubadilishwa na kadi za zawadi tofauti au zinazotolewa kwa usaidizi
Unaongeza uwezekano wako wa kujishindia zawadi kubwa kwa kila utafiti utakaohusika


Badilisha pointi zako na bidhaa na huduma tofauti!

Unaposhiriki katika tafiti, utapata pointi ambazo zinaweza kubadilishwa na kadi za zawadi tofauti, tiketi au mchezo wa bahati nasibu. Unaweza pia kutoa pesa za msaada kwa hiari yako. Mara nyingi unaweza kuchagua zawadi yako ya kwanza baada ya kushiriki katika tafiti 2-4.

Hivyo basi moja kwa moja utashiriki katika mchezo wa bahati nasibu mkuu.

Kila wakati ukikamilisha utafiti, unajipatia pointi na kushirikishwa kwa mchezo wa bahati nasibu. Tunakupa fursa ya kujishindia bidhaa mbalimbali zinazotumia umeme, safari za likizo, tiketi na mengine mengi. Kwa kila swali lililokamilishwa utaongeza uwezekano wako wa kushinda.

Kuwa mshiriki ni salama

Maelezo yako ya kibinafsi yanabaki kuwa ya siri na majibu yako hayatahusishwa na maelezo yako ya kibinafsi. Hatupeani habari zako za kuwasiliana kwa mtu yeyote nje ya mtandao wetu wa utafiti. Unaweza kuacha ushiriki wakati wowote.

Jiunge nasi

Jisajili na anwani yako ya barua pepe na uanze kushiriki katika tafiti! Baada ya usajili, tutakutumia barua pepe ya viungo vya mtandao wa tafiti. Kwa kila utafiti uliokamilishwa unapata pointi zinazoweza kubadilishwa na bidhaa na huduma. Zaidi ya hayo, utashiriki moja kwa moja katika bahati nasibu ambapo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali.